PICHA YETU YA LEO: HII SIO HADITHI TENA YA BWANA MMOJA ..... WASWAHILI WANASEMA WANASEMA ALIYE JUU MFUATE HUKO HUKO JUU USINGOJE MPAKA ASHUKE
Hapa nilikuwa najaribu kuweka picha kwamba siku zote kila aliye fanikiwa nae alianzia chini sasa ili kueana moyo yatupasa kujua kuwa aliye juu mfuate juu huko huko kwa kuwa na bidii katika kazi na kujituma na wewe ufike huko
No comments:
Post a Comment