Social Icons

Wednesday, 23 May 2012

Picha za Mzishi ya Marehemu Mafisango


Hapa ndio jeneza la mwili wa Mafisango lilipowekwa baada ya kuwasili ambapo maziko yalifanyika kesho yake. 



Sehemu lilipohifadhiwa jeneza la mwili wa Marehemu Patrick Mafisango. 


Huyu ni mama mkwe wa Mafisango, wazazi wa Mafisango walishafariki toka akiwa na umri wa mwaka mmoja. 

Mtoto wa kwanza kushoto ni mtoto wa mwisho wa Mafisango, na aliekulia ndio mtoto wa kwanza. 



\\


.


.Hili ndio eneo alipozikwa Mafisango, ni sehemu yenye makaburi mengi na karibu na kambi ya jeshi.. ni watu wachache sana walioweza kufika eneo hilo kwa sababu liko umbali wa nusu saa kutoka nyumbani kwa kina Mafisango, camera wala simu hazikuruhusiwa kwa sababu ni eneo karibu na jeshi japo kuna wengine walikua wakipiga picha kwa kuibia tu.

Huyu ni kaka anaemtangulia Mafisango, hakukuwa na mchungaji kwenye ibada ya mazishi badala yake kaka wa Mafisango ndie aliendesha maombi.

Hapa ndipo alipozikwa Mafisango, baada ya kuweka hayo mashada kuliwekwa bati na cement juu yake kwa hiyo mashada yakawa yamefunikiwa kwa ndani.
Picha zote kwa Hisani ya Millardayo 

No comments: