Mwandishi mkongwe wa habari na vitabu nchini, Joseph Shaluwa (mwenye tai) akipokea mkataba rasmi wa kusambaza kitabu cha STEVEN CHARLES KANUMBA - Mwisho wa Enzi kutoka kwa mama wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa, leo mchana nyumbani kwa marehemu Sinza, Vatican, jijini Dar es Salaam.
Mama wa marehemu Kanumba, Bi. Mtegoa akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) kava la kitabu hicho. (Picha zote na GPL)
Shaluwa amepewa mkataba huo baada ya kulipa asilimia 35 ya faida ya kitabu hicho. Kutoka kushoto ni Wilson Makubi aliye Katibu Mkuu wa Shirikisho la Filamu Tanzania 'TAFF', mdogo wa marehemu Seth Bosco na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba.
Picha kwa Hisani ya GPL
PICHA NA MTANDAO HUU
No comments:
Post a Comment