Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom iliyomalizika jana Uwanja wa Taifa dhidi ya watani wao wa jadi Yanga.Simba ilishinda 5-0.
Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe
Mashabiki wa Simba wakishangilia kwa namna yake
Wachezaji wa Simba wakitembea mithili ya Simba mara baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Simba ilishinda 5-0.Mbele ni Mchezaji wa timu hiyo, Uhuru Selemani na motto wake
Wachezaji wa Simba wakishangilia
Waziri wa Habari akimkabidhi Kombe nahodha wa Simba Juma Kaseja mara baada ya kutwaa Ubingwa timu ya Simba
Mashabiki wakishangilia kwa mbwembwe
Picha zote na Kamanda wa matukio Blog
Picha zote na Kamanda wa matukio Blog
No comments:
Post a Comment