Hiki ni kitabu ambacho kila mmoja wetu si mama wala Baba wanatakiwa kusoma
 Hii ni Muhimu kujua ni lini mtapata mtoto
 Baba nae ni muhimu kujua ni vyakula gani mke wake anatakiwa kula
 Baba ni muhimu kujua Mke wake anatakiwa kuvaa nini wakati akiwa mja mzito
 Baba anatakiwa jinsi ya kumfanyisha mazoezi mke wake akiwa mja mzito
 Baba anatakiwa apate elimu ya jinsi gani ya kumnywesha mtoto maziwa
Baba anatakiwa kujua vema ni michezo gani watoto wanapenda kucheza
Baba anatakiwa kujua zaidi kumlisha mtoto 
Swali ni je Wakina Baba hawapaswi kusoma kitabu kama hiki?
Elimu hii ni kwa kila mmoja wetu 







No comments:
Post a Comment