Social Icons

Wednesday, 9 May 2012

VIDEO: KUTOKA FACEBOOK YA CHAMA CHA MAPINDUZI: Joshua Nassari akitangaza kwamba Mh. Rais Kikwete atahitaji visa kuingia mjini Arusha!



MAONI YA WADAU MBALI MBALI
  •  mungu ibariki tanzania
    about an hour ago ·  ·  1
  •  Sasa akubali utoto si sifa ya uongozi. .!
    about an hour ago via Mobile · 
  •  Ndo shida ya kuwa na wabunge wtt na wasioona mbali, wanakurupuka tu wanaongea kama wapo kijiweni na hawajijui status zao, baba wa taifa akiamka leo, atachapa wengi sn na atasikitika sn kwa yanayoendelea hapa nchini, tusikubali kamwe kujitenga sisi kwa sisi.
    about an hour ago via Mobile ·  ·  2
  • Baba mungu Tunaomba ulinzi wako katika nchi yetu hii takatifu ila wachache tu wantuvuruga kwa manufaa yao binafsi ee mungu tunaomba utulinde nakuwaangamiza wale wote wanotaka kuiteketeza cnhi hii ee mungu tusaidie ,AMEN
    about an hour ago ·  ·  1
  •  Katika ili inatakiwa tuwaangalie safi wanasiasa awa maana mtu ni lazima uwe na utii
    about an hour ago via Mobile ·  ·  1
  • Kutokana na mambo yake anayo yafanya ndo yamechangia aambiwe hivyo..hapo alaumiwe mwenyewe (kikwete)sio mtu mwingine.
    about an hour ago via Mobile ·  ·  1
  •  Inakuaje hasa jambo hli achukuliwe hatua kali na ni kosa kubwa kwa sheria ya nchi
  •  and this can interrupt peace and security of our nation,serious legal action have to take place
    59 minutes ago · 
  •  Ndio shida ya wapumbafu kupewa madaraka badala watetee jimbo wanaropoka ovyo me naona mvuta bangi 2 mwanasiaxa wa kwel aropoki ujinga avuliwe ubunge analeta upumbafu
    59 minutes ago via Mobile ·  ·  1
  •  hv we zakayo una akil kwel ww? uko sawa kwel? kama una akil timamu vp unasapot upuuzi kama huo?@zakayo
    56 minutes ago via Mobile · 
  • Huyu kijana mwenzetu ana akili za kipuuzi kabisa. Ni mtu hatari na mjinga pia katika usalama wa taifa letu. Inaonekana yupo tayari kushirikiana na maadui kutimiza azma yake na chama chake kwa ujumla! Lakini tukumbuke huyu kijana hawezi tamka maneno hayo tu kwa kukurupuka, ila ametumwa na viongozi wake ndani ya Chadema. Hiki chama hatari sana, hapa tu hakijashika dola kimeanza kugawa Taifa,je wakipewa dola patakuaje?
    55 minutes ago via Mobile ·  ·  2
  • Kauli hizi hazikubaliki hata kidogo, nafikiri kuna umuhimu wa kutoa warning kwa hawa jamaa, wakirudia wapewe fundisho
    52 minutes ago · 
  • Zakayo ndg yangu jaribu kuangalia vitu vingine usishabikie vitu ambavyo baadaye vinaweza kuathili taifa kwani uyo Nasari kachaguliwa na wananchi wa Arumeru akawatete bungeni lakini si kulumbana na Rais tena kwa muda mchache anaonyesha uzaifu uo je akiwa bungeni atafanyeje?jamani kuna vitu vingine tuviangalie
    52 minutes ago via Mobile ·  ·  1
  •  Nyie nnao mkubari rais wenu huyo ndo hamna akiri,nyie mnaona haya maisha 2liyonayo wtz yanaelekea wapi?jpngn n rais wenu
    51 minutes ago via Mobile · 
  •  UKICHEZA NA MBWA MATOKEO YAKE UNAINGIA NAE MSIKITINI
    50 minutes ago via Mobile ·  ·  2
  • Wafungeni kina Chenge kwanza wanaotutesa na haya maisha.
    48 minutes ago ·  ·  1
  •  Naona wewe ndg yangu@Zakayo upo malawi na si Tanzania maana ungekuwa Tanzania nawe ungemkubali mh'Rais kwa kuwa ndiye aliyemadarakani
    46 minutes ago via Mobile · 
  •  ‎`Nchi ndani ya Nchi` haya bana!
    42 minutes ago · 
  • Kwahiyo kama anafanya maovu 2endelee kumuunga mkono! imekula kwenu!
    40 minutes ago via Mobile · 
  •  mwalimu nyerere aliacha wasia kuna kabila fulani halifai kuongoza hii nchi hao wako tayali kuua kwa ajiri fweza
    38 minutes ago via Mobile ·  ·  1
  •  chama cha ccm kipo kwa ajili ya kuwangamiza watanzania!
    37 minutes ago via Mobile · 
  • nyie toto cheza sana iko gawa nchi kama karanga,,,,,
    33 minutes ago · 
  • Kwa kuwa ulipokuwepo siwezi nikakuamisha lakini hata pia utandawazi ukiwa ivi sio eshima kabisa kuongea vitu kama alivyoongea yeye na si kukulupuka kuongea vitu km ivyo
    33 minutes ago via Mobile · 
  • WHAT IS THIS? KUONA KWAMBA WANACHAMA NA VIONGOZI WA CHAMA/VYAMA VYA UPINZANI HAWANA UHURU WA KUTOA MAONI YAO NA KUFANYA MIKUTANO ILA WA CHAMA TAWALA NI FIKRA ZA KISHETANI. NALAANI UBAGUZI AMBAO NYERERE NA KARUME HAWAKUUTAKA, NALAANI FIKRA NYEPESINYEPESI KAMA HIZI. HIVI MBONA SUGU ANAITWA RAIS WA MBEYA? mbona wapo marais wa wasafi, nk hao mbona haijawa issue. msitumie hoja nyepesi kutaka kupata umaarufu kisiasa josh kawaumiza arumeru mlipeleka rais mstaafu, waziri mkuu aliyejiuzulu na mawaziri kibao mliambulia patupu sasa ndo mnaanza kuingilia upelelezi wa vyombo vya dola. acheni polisi ifanye kazi ikijiridhisha kauli ya josh iluikuwa na madhara kweli kwa tz basi atapanda kizimbani lakini siyo poroooojo wakati chama chenu kinakaribia kuandika wosia
    32 minutes ago ·  ·  1
  •  Anahaki ya kuongea,inamaana wewe ukiwa unaishi na mm w kmb,huwezi kumwambia kama anakosea..mcwe kama maboyaa@ Kelvin
    29 minutes ago via Mobile · 
  •  hakuna aliyekatazwa kutoa maoni Moses Masinga kinachotazamwa ni namna gani unayatoa na kwa ustawi wa Taifa letu si kukurupuka na kusema yaliyosemwa na huyu bwana mheshimiwa... tumia akili yako ya kawaida uone matokeo ya maneno yake,, usivae miwani ya mbao bana!
    27 minutes ago · 
  •  kwa upande wangu sikubaliani na kauli hzo hata mara moja.
    27 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI
     Anaingilia madarak kw pupa?!!?
    27 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI: Acheni kupiga kelele nyie magamba,wezi wa mali za nchi yetu mnawakenulia meno,wauaji mnawalinda ,maneno ya dogo janga tu mmeyakomalia macho ,kama mngekuwa na uchungu hivi na nchi hii hadi leo tungekuwa kama marekani kiuchumi
    26 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI ‎... atakufuata mpaka msikitini!
    24 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI: wewe David Margreth Tweve kwa hiyo unataka tuigawe nchi? sema usikike sasa ili muwe kama

    marekani!!
    21 minutes ago · 
  • MAONI: Naludia tena ndg@Zakayo kwa upendo kabisa mambo yaliyofanywa na Nasari si ya kuyaunga mkono kwani unaweza ukawa ni uchochezi binafsi kuyakubali nasisitiza siwezi kukubadilisha ulipokuwepo na kauli zako
    20 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI : Huyo anaesema km marekan katoka ucngizin?
    11 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI:  Mbona nchi yenyewe mnayoililia ni ipi? Nchi meuzwa yote leo mnajifanya kuililia ,acheni unafiki,mbona imegawanywaزsiku nyingi ishagawanywa makundi mawili siku nyingi sana .maana kuna ya wazalendo na mafisadi.kamateni kwanza hao wahalifu wa mali si maneno manayaogopa kuliko matendo
    7 minutes ago via Mobile · 
  • MAONI: MWENGE Pole sana, hizi kauli zenu mnatuibia kila kitu hatutaki, SIPO TAYARI KUAMINI NA KUSADIKI NITAKUWA MDHAMBI NAMBA MOJA. JOSH ACHENI DOLA IFANYE KAZI LAKINI MSIANZE KUJA NA KAULI REJAREJA HAPA AU MMEUKOSA UDC?
    6 minutes ago · 

No comments: