Social Icons

Friday, 25 May 2012

WAREMBO WA KURASINI KUPANDA JUKWAANI LEO;WATEMBELEA DUKA LA MDHAMINI WAO NAEEMS


Warembo wanaopanda Jukwaani leo katika Ukumbi wa Equeter Grill,  Miss Kurasini 2012 kuwania Taji la Miss mrembo Bora wa kitongoji cha Kurasini,  wakiwa katika moja ya Maduka ya Mdhamini wa shindano lao NAEEMS CLASIC WEAR lililopo Kariakoo Mtaa wa Pemba na Msimbazi jijini Dar es Salaam.


Warembo hao walitembea Duka hilo linalouza mavazi, urembo na vitu vingine mbalimbali vinavyouzwa katika Duka hilo kali na la aina yake jijini.


NAEEMS CLASIC WEAR  wakali wa pamba na viatu vya uhakika pia wanapatikana Mikocheni Barabara ya Zamani ya Bagamoyo mkabala na Shule ya Msingi Feza.

Hakika ni pamba za ukweli zilizopo NAEEMS CLASIC WAER na hapa warembo wakizikubali.

Warembo wa Redds Miss Kurasini leo watapanda jukwaani kuwania taji hilo huku Mdhamini Mkuu akiahidi zawadi kem kem.


Viatu navyo vipo vya uhakika katika maduka yote mawili ya NAEEMS CLASIC WAER yaliyopo jijini Dar es Salaam pale Kariakoo na Mikocheni.

No comments: