Social Icons

Monday, 4 June 2012

KUTOKA MAHAKAMANI LEO: LULU KURUDI TENA MAHAKAMANI JUNI 18


Mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu'
anayekabiliwa na kesi ya kumuua mwigizaji
mwenzake, Steven Kanumba, akisindikizwa na askari
Magereza kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi

Kisutu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kusomewa

mashitaka  yake. Kesi hiyo imehairishwa juni 18.

(PICHA NA PHILEMON SOLOMON)

No comments: