Social Icons

Friday, 22 June 2012

Sad news: Mwili wa Kichanga wakutwa ukielea mto Morogoro


 Baadhi ya wananchi na wanausalama wakiwa eneo la mto Morogoro kushuhudia tukio hilo.
 John Bosko Luwanda aliyekuwa mtu wa kwanza kuiona maiti ya kichanga hicho, akikiopoa kutoka kwenye maji ya Mto Morogoro.

MWILI wa kichanga chenye jinsia ya kiume jana jioni uliokotwa katika Mtaa wa Ngoma 'A' kwenye Mto Morogoro, mjini Morogoro, ukidaiwa kutupwa na mama yake muda mfupi baada ya kujifungua.
Uchunguzi wa awali umebaini kwamba mwanamke aliyefanya ukatili huo alikunywa maji ya uchungu kwa lengo la kujifungua kabla ya miezi tisa kutimia ambapo mtoto huyo alionekana kukaa tumboni kwa miezi saba au minane.  
(PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE/GPL, MOROGORO)

No comments: