Social Icons

Saturday 21 July 2012

Fredy Tony Leo nilikuwa katika mizunguko mingi sana ni baada ya kuwa nimefanya kazi sana sasa mapumziko

 Hapa mchanaa sana eti Jembe lenu nilikuwa nasikia baridi
 Hapa ni Shopping mall moja kuwa sana
Ndani ya Shopping mall hapa kuna bonge la Show Room kazi kwako kuchagua mkoko Bombaa.. Mimi nilipiga picha tuu
 Hapa nilikuwa nimechoka
 Hapa ilikuwa ni kitaa 
 Mapozi tuu huku mizunguko
 Mimi ni mwana mazingira hapa nilikuwa natafakari jambo
 Ping Ping sasa 
 Menu ya Mchana baada ya mizunguko 

 Mitaa ya kati hapa ni saa Tatu za usiku week end inaanza 
 Mtaa huu kila taifa lipo
 Hapa kitabu cha menus
 Hapa nadata sasa sijui takula nn maana naona jongoo, Kaa na vingine
 Ikabidi niagize mishkaki 18 ya nguvu , hiyo ni supu ya karanga
 Mimi napenda kula sasa mambo yanaanza 
 Shiba Mbaya sasa nimepata na muda wa kupiga ukodak
Tutaonana Kesho Naingia Reggae Bar sasa
Picha zote na Kamera yangu

No comments: