Kwa mbele kabisa Huko ni Jiji la Kuala Lumpur full green mpaka
Hapa Lile Gogo linalo tembea bila Dereva linawasili eneo la Tukio
Mitaa ya kati Mujini
Hapa ndani ya China town
Hapa watu kibao kutoka maeneo mbalimbali wakiwa ndani ya China Town kufanya ma Shopping
Kama kawa usipo muweka Waziri mkuu hapoJuu imekula kwako
Nilipata nafasi ya Kukamua Picha ndani ya China Town
Hiki kitu cha usafiri kinatupeleka kona kibao
Huu mtaa si wa Biashara kwa hiyo wadau si wengi
Huu msikiti Bwana upo poa sana watu kibao wana jiachia kulala bureee
Hapa swaga zinaendelea sasa nipo kitaa kama kawa ndani ya Gogo na hapa Mdada yupo bize na Ping Ping
Twin Towers nimezipiga umbali wa kama kilometa kumi
Hapa nipo ndani ya Basi narejea skani baada ya mizunguko
Huyu Jamaa anaitwa Jerry
Huu ndio Mtaa ninao ishi yaani familia moja ina magari zaidi ya ma nne full mashindano
Hii nimepiga nikiwa nyumbani kwangu
Matukio ya hapa na pale yataendelea
No comments:
Post a Comment