Kona kibao na Maduka ya kila aina
Inatakiwa ujipange vizuri maana Kuna bei sometime za kuumiza kichwa
Hapa Nilipata nafasi ya kupiga ukodak mmoja
Hatua chache ni Nje ya Pavilion ambapo kulikuwa na kamvua kiainaa watalii tukawa tumejibanza kungoja ipungue
Hii ni sehemu ambayo watu kibao wanapata ukodak
Ok Hata mimi pia nilipata nafasi ya kupata ukodak katika eneo hili
Du hapa nilipita na Kuingia Duka hili kuulizia bei za hiyo kitu duu.. ilikuwa balaa
Baada ya hapo nikajichanganya ndani ya KLCC ambapo ndiko kwenye Twin Towers, Hapa asilimia kubwa wanao onekana ni Tourist wamekuja kwenye ma Shopee na kushangaa.
Kama panavyo onekana hapa maduka kibao kwenda mbele
Nilipata nafasi ya kupata ukodak wa nguvu ndani ya Kuala Lumpur City Centre katika mjengo wa Twin Towers
Hapa watalii kibao wanapata ukodak nje ya jengo la twin towers huko mbele ni Vishika ukuta
Kama kawa sikuwa nyuma nami nikapata ukodak wangu wa nguvu
Hivi Ndivyo Twin Towers zinavyo onekama kwa ukaribu ingawa nilipiga picha kwa juu sana
Haya maji wadau kibao wanayapenda kupigia picha hapa hasa nyakati za jioni
Takuwa naleta tukio kadili navyo vinjali hapa na pale
No comments:
Post a Comment