Social Icons

Wednesday 25 July 2012

Kutoka Muhimbili Hali ni mbaya... Wagonjwa wanalala mpaka Koridoni!!!







Serikali, Madaktari mnaona picha hizi? anayetaka kujua ukweli atembelee Muhimbili atajua ukweli wa mambo na kupata majibu kuhusu  mgomo  kama umeisha au unaendea?
Chanzo: Blog ya Chinga One

No comments: