Kufuatia  upekuzi uliofanyiwa kasisi wa kanisa la Fire Gospel  Ministries, mengi yamefichuka kuhusiana na yanayojiri katika kanisa  hilo. Kasisi wake Michael Njoroge inadaiwa  huwaombea watu ili  kuwakomboa kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo magonjwa. Huduma  hizo hazitolewi bure zinalipiwa katika kile kinachoitwa mbegu zipandwazo na hao waumini wa kanisa hilo. Na kama anavyotuarifu Lolani Kalu, ndani ya kanisa hili huwa kuna jazba za hali ya juu na vitimbi vya kila aina  katika itikadi ya kipekee.
Bongo flava link
No comments:
Post a Comment