Social Icons

Sunday, 8 July 2012

WOLPER NA WEMA SEPETU HAKUNA MBABE


Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.


Waigizaji mahiri wa filamu nchini,
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa
raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye
Tamasha la Usiku wa Matumaini. PICHA NA GPL

No comments: