Social Icons

Monday 10 September 2012

HII SIMU YA MKONONI IMEMSABABISHA MAMA KUJISAHAU KAMA ANA MTOTO.. SHUHUDIA HAPA



Peaches Geldof with son Astala
Mama story moto moto akasahau kuona mbele yake kuna nini mala kigari cha mtoto biduuuuu nasimu yake mkono
Peaches Geldof and Astala
Mtoto huyooo chini bado mama na simu yake mkononi, simu sikiona mtoto sakafuni 





Peaches Geldof and Astala
Simu ilikuwa muhimu zaidi ya mtoto kweli kazi hipo hapa....
Peaches Geldof and Astala
Simu sikioni mtoto chini jiulize huyu dada kulikoni??????ni mahongezi gani hayo ambayo yalikuwa muhimu zaidi ya malaika mwenye umri wa miezi 4 anaieitwa Astala mtoto wa Peaches Geldof mke wa Tom Cohen, nani wakulaumiwa hapa barabara au huyu dada?. Mambo haya yalitokea mitaa ya East London uko kwa wakoloni.
Picha na Vijimambo blog

No comments: