Social Icons

Friday 14 September 2012

Leo Nilishuhudia Live Mapokezi ya Prince William wa UK akiwa na Mke wake .. ambapo alishuka Live Eneo la Twin Towers na kutembea kwa Mguu kusalimia ma Elfu ya watu.


 Gari Maalum ambalo ndilo lilimbeba Prince William wa UK pamoja na Mkewe walipo kuja Malaysia, Hapa ni punde baada ya kuwasili, ambapo nilikuwa live eneo hilo 
 Ma elfu ya watu walikuwepo kwa ajili ya kumlaki Prince William ambaye alikuja eneo la KLCC 
 Hapa ilikuwa ngumu sana kupata picha yake kwa sababu waandishi walikuwa wameziba 
 Huku Pembeni wananchi kibao kila mtu anataka pata picha nzuri ya Prince William na mkewe
 Huyu alikuwa ni Mwandishi wa CNN Malaysia ambaye alikuwa na Jopo la wenzake lakini yeye alikwenda sehemu nyengine kupata picha Nzuri.
 Kwa mbali sana Prince William anaonekana akiwa anatembea kwa mguu akiwalaki watu kibao
 Hapa Prince William alikuwa anasalimia watu mbalimbali, na kuwakiss huku mkewe nae akiwalaki watu mbali mbali
 Ilikuwa ngumu sana kupata picha lakini hivi ndivyo hali ilivyo kuwa 

 Paparazi akiwa na Mzinga wa mkamera hapa 

Hapa Nilikuwa chokest Baada ya kupiga matukio kibao
 Kama Kawa Ki Gentle Zaidi
 Hapa Nilikuwa na Kodoa macho kiainaa 


Picha hizi Mbili nikiwa Nimejichanganya 

 Picha a juu na ya Chini Prince Wiliiam akiwa anaongea jambo na akina dada wa Malaysia ambao walikuwa wamevalia mavazi maalum
 Prince William akiwa na Furaha baada ya kulakiwa na watu wengi sana 
 Hapa Prince william mwenye Tai nyeusi akiwa anaendelea kuwalaki watu kibao, Bado tulikuwa bega kwa Bega kushuhudia tukio 
 Ndani ya Viunga vya Twin Towers ndipo Prince William alikuwemo
 Kila Mtu amezunguka anataka muona  Prince William
 Ma elfu ya watu bado wana miminika kumuona Prince William na mkewe 
 Hapa Prince William akiwa anajiandaa kupanda katika Gari maalum 
 Prince William aliwa sasa anarejea katika gari maalum
 Prince William na Mkewe wakiwa katika  Gari Maalum
 Mpiga Picha wa Tukio hili na Mwandishi wa blog hii Fredy Tony Njeje, Muda mfupi baada ya Kusalimiana na Prince pamoja na Princess, alipata pigwa picha. Kulikuwa na watu wengi sana na vurugu.
 Hapa Prince William ndio anamalizia kuondoka 

Gari lililo Mbeba Prince William na Mkewe ndio Linaondoka, Na hapa Ndipo Nilikamilisha tukio hili  zima Huku nikiwa sambamba na BBC, CNN na vyombo vingine vikubwa vya  habari katika tukio hilo Maalum Leo.

Picha zote zimepigwa na  Fredy Tony Njeje wa Blog hii, Changa

1 comment:

JG Blog Team said...

Safi sana kaka wakilisha