Social Icons

Saturday, 1 September 2012

Nafanya kazi popote: Hapa nilikuwa natoa maelekezo jinsi ninavyo fanya kazi zangu za ku blogisha!

 Kwa Makini kabisa Mmoja wa mdau mkubwa wa blog yangu aliyekuja kunitembelea kutoka Iran, anaitwa Masoud, Hapa nilikuwa namuelekeza jinsi ninavyo fanya kazi zangu za kublogisha kwa umakini zaidi. Alielewa na alifurahishwa na utendaji wangu wa kazi.
Hapa tulipata nafasi ya kupiga picha ya pamoja baada ya mazungumzo marefu.

********
Ki Msingi mimi si mwandishi wa habari lakini kublogisha ni moja ya mambo ambayo ninayapenda sana, ingawa ninaweza kuandika baadhi ya makala, lakini kutokana na kukosa muda nakuwa sina uwezo huo. hivi karibuni nitakwenda kuanzisha hadithi moja ambayo itakuwa inawajia kila siku, na makala fupi fupi za kijamii. 

Ikiwa unajambo lolote unataka kutuma Birthday, Msiba, Harusi, na matukio yoyote nje ya siasa tafadhari tuma kupitia. fredynjeje@live.com

kwa wale wanaopenda kuni add kwa facebook id yangu ni Fredy Tony au kwa email fredynjeje@gmail.com

Asante sana kwa wewe unaependa blog hii.

Twitter: @Fredynjeje
Whats app: +60123490059

No comments: