Social Icons

Thursday, 13 September 2012

Nilipenda tuu kutembelea Pande hizi Baada ya kuchoka, na Libeneke au Kublogisha!!

 Hawa Jamaa wanauza Vifaa vikali sana vya ma Pikipiki usifanye mchezo kabisa 
 Ok Hapa ukiingia Ni PUMA tuu hakuna cha zile zengine zengine na Bei zake ni Nzuri Maana Kitu ni Original kabisa no Kuchakachua 
 Hapa ni Kitu Cha ADIDAS wameandika Original ni kweli Original Haina Kuchakachua 
TimberLand kama unavyo ona kina mtu anakwenda pande hizo kucheki kulikoni , Mimi pia nilikuwa nabalizi tuu kama kawa na Mizunguko yangu.
Na hapa Ndio NIKON Centre   Eneo ambalo ndo nimepata Kamera yangu inayo sababisha matukio yote kwa ujumla wake. 

Siku zote nikipata mapumziko napenda kutembea tembea na kutazama kuna nini na nini mtaani, kiujumla sipendi sana kusimuliwa mambo.
Asante kutembelea Blog yangu
Fredy Tony Njeje

No comments: