Huyu ndiye Mmiliki wa Mtandao huu anaitwa Fredy Tony Njeje.
****************************************
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu wakubwa Shikamoo na Vijana wenzangu mambo vipi? Kwa heshima na Taadhima, Itifaki imezingatiwa. Napenda kukushukuru sana wewe mdau wangu ambaye umekuwa ukifuatilia kwa umakini Blog hii ambayo kimsingi si yangu peke yangu ni ya kwako pia wewe mdau ambaye unaisoma sasa na siku zote. Hakika bila wewe hapo mimi siwezi kuwa nafikiria niweke nini ili wewe upate kusoma.
Katika hili napenda kuwambia kuwa sasa nimeweka Rasmi idadi ya watu wanao tembelea Blog yangu kila siku utaona hapo juu upande wa kulia chini ya Share this Blog, idadi hiyo inaelekea watu 300,000 na mpaka napo andika post hi kuna watu 297,517 Je ni nani Atakuwa mdau wa Laki tatu? Huyo atapata zawadi nono sana kutoka katika Blog hii.
Jinsi ya Kushiriki:
Tazama Hiyo Idadi ya watu, ukiona imefika laki tatu tuu, wewe acha Comment yako chini ya post hii, sisi tutaangalia nani amekuwa wa Laki tatu kisha tutamtaja hapa rasmi.
Asanteni sana kuendelea kuwa pamoja
Mimi Mdau wenu
Fredy Tony Njeje
Msimamizi wa Mtandao huu.
Pia kama bado hauja Like Page hii ili kupata updates automatically Bofya hapa chini
No comments:
Post a Comment