H.Baba ameileta Bongo5 cd yenye demo ya wimbo wake 'Nataka Kulewa' ambayo anadai ameibiwa idea na Diamond. Wengi walikuwa hawaamini na kusema H.baba anatafuta pa kutokea. Kama bado huamini usikilize mwenyewe hapa:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment