Social Icons

Wednesday, 13 February 2013

MIMI SI MCHAWI...SIRI YA MAFANIKIO YANGU NI MAMA YANGU.."DIAMONDIMG_0010
Huenda
ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio
kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa
huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii
wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na
pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake
ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

Hizi
ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye
moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa
mama yetu mpendwa atupe Barka zake na nyingine hiyo juu akiandika:
Nikipokea baraka za Mama ….Nijaliwe Mema….na Niende kwa Amani…!!

Wasafi wakipata baraka za mamaWasafi wakipata baraka za mama
Is Diamond here to stay?

No comments: