Harusi:Ndugu Antony David Mtavangu na Gema Nicholaus Temba wakila kiapo cha kuishi pamoja katika kanisa la Mtakatifu Peter ,siku ya Jumamosi tarehe 6 Julai 2013.
Antony na mkewe Gema wakiwa wamependeza sana katika siku yao ya harusi.
Antony Mtavangu na Bi. harusi Gema wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasimamizi wao.
Saleh Saphy akizungumza kwa niaba ya wanafunzi waliosoma na Antony, chuo kikuu cha Mysore India, pamoja na kumtaka Antony maarufu kama 'Tony Yayo' kumtunza mkewe , vijana hao walimtakia maisha mema na kamwe kutomlisha mkewe 'Egg Puf '.

Antony
David Mtavangu na Bi. Gema Temba, wakiwa wenye furaha baada ya kufunga
ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter na kufanya sherehe kwenye ukumbi
wa Delux Sinza jijini Dar hivi karibuni.
Antony Mtavangu na Bi. harusi Gema wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasimamizi wao.
Saleh Saphy akizungumza kwa niaba ya wanafunzi waliosoma na Antony, chuo kikuu cha Mysore India, pamoja na kumtaka Antony maarufu kama 'Tony Yayo' kumtunza mkewe , vijana hao walimtakia maisha mema na kamwe kutomlisha mkewe 'Egg Puf '.
No comments:
Post a Comment