Social Icons

Friday 1 November 2013

KUMEKUCHA MAMBO YA KUJIANDAA KUACHANA NA USINGLE HAYA: BADO NAWAZA MKE WANGU MTARAJIWA ATAVAA SHELA GANI KATI YA HIZI? MANA SITAKI YALE YA KUTAMBAA KAMA NYOKA


Leo nimekaaa sana nikawaza hivi mke wangu atavaa shela ya aina gani? maana za kubuluza mie sitaki kabisaa... sasa nashindwa pata jibu kabisa... maana hata yeye hana jibu
 eeeh nikasema hiii akasema hana jibu
 Nikamwambia na hiii je akasema kama Cindelea hataki
 nikamwambia hii hapa vipi akasema ooooh kwa mbeya atapigwa sana na baridiii
 Nikasema hapa vipi akasema ...baby mi na mwili wangu katakaa kweli
 Nikauliza hiii akasema twende ingine
 Na hiii akasema twende ingine
 Hapa je ? akasema haina maadili
 naHiii.... akajibu mmmh.... labda
 Hii je, akasema tuendelee
 na Hii.... Akasema tuendeleee ingawa moyoni aliipenda sana
 Hapa vipi? alicho nijibu mimi siwezi andika hapa
Na Hii ya Mwisho je? akasema kwamba inawezekana lakini akasema niendelee kutafuta zaidi


Sasa Mdau... na mpenzi wa kusoma Blog hii.... je unasemaje maana nina zoezi la kutafuta shela... na sitaki la kubuluzaa weeee....... any ways hizi ni aina za kisasa za shela mbalimbali fupi ambazo hazina mkia .... 


No comments: