Social Icons

Friday, 26 September 2014

HAYA NI MAMBO KUMI YA KUZINGATIA UNAPOONANA NA MPENZI/RAFIKI ULIYEKUWA UNAWASILIANA NAE TU KWENYE SIMU, SOMA HAPA UPATE SOMO





USISEME MANENO HAYA

  1. Unaonekana tofauti na picha uliyonitumia/kuona
  2. Nimesahau pochi/wallet yangu! (na hutakiwi kusahau)
  3. Mpenzi wangu wa zamani alikuwa anapenda sana kuja hapa!
  4. Unavutia sana, Tunaweza kuwa wapenzi (endapo sio mpenzi wako)
WAKATI WA KUAGANA, ZINGATIA HAYA MANENO
  1. Ilikuwa siku nzuri sana kuonana na wewe!
  2. Asante kwa kukubali wito wangu, safari salama!
  3. Ningependa tuendelee kuongea ila Kwa kweli nahitaji kuondoka!
  4. Asante kwa kuifanya siku yangu iwe njema
  5. Nimefurahi sana kufahamiana na wewe!
  6. Sikuwahi kujua kama unauwezo fulani (taja ulichogundua kwake) siku njema

  7. NA KUMI MUHIMU

No comments: