Sote tunajua kuwa ni muhinu sana kujua namnagani ya kupanga bajeti lakini hatujui namnagani ya kuifanya bajeti hiyo kuwa endelevu zaidi.
Wengi wa akina mama au akina baba wamekuwa wakiwapangia watoto wao au wanaowasaidia kazi nyumbani bajeti ya siku.
Ambapo hapa mzazi anaweza akatoa pesa yake mfano elfu ishirini mtoto anunue cha kunywea chai, mboga,.mchele,.matunda na pia unga kama unahusika. Sasa utakuta mwisho wa siku pesa haitoshi.
Na mfano ukipiga hesabu ya wiki hiyo ni laki na arobaini
Ambapo sasa kwa mwezi inakuwa laki tano na sitini elfu na familia utakuta wapo watu wachache tuu. Hizo ni pesa nyingi sana.
Sasa ili usipate hili tatizo tena unatakiwa uanze kufikiria njia hii nayo kupa ya kufanya manunuzi ya jumla mfano chukua laki moja na nusu kisha nenda sokoni ununue vitu kibao kwa jumla nunua nyanya ,vitunguu,maguta ya kupikia,mchele debe,unga debe,njegele ,karoti ,ndimu,pilipili,bilinganya,nyanyachungu,kikubwa kujipenda wewe mwenyewe kisha.piga hesabu utakuta hata laki na nusu haijafika kisha nunua nyama ya kutosha tia kwenye friji .utaona unatumia vitu hivyo hata wiki.tatu au mbili na nusu.
Amka sasa halafu unaanza sema oooh binti yangu wa kazi anavaa sana ooh anasimu nzuri kulipo mimi , tatizo ni wewe unampa pesa hizo nae anapanga yake .. amka sasa....
Mwenyewe hupenda shoping na sokoni naenda mwenyewe...
Hapa nilikuwa nikifanya manunuzi ya jumla viungo vya kupendezesha mboga
Tazama hivi hapa nyanya Pia sukuma wiki ni kwamba unapokuwa sokoni fanya matembezi upate kilicho bora lama unavyokuwa mule supa maketi na humu fanya hivyo
Mwisho ni muhimu sana kuzingatia haya...
Nawatakja Ijumaa njema na usikose toleo lijalo
Imeandaliwa na Msimamizi wa mtandao
Huu
No comments:
Post a Comment