Social Icons

Saturday, 6 December 2014

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER KIKOFIA PAMOJAAAA!! WERAAAA

Siku zote hakuna mtu hata mmoja aliyeweka historia ya kuzaliwa akiwa na umri wa zaidi ya mwaka sifuri wala hapajawahi kutokea Binadamu hata mmoja aliyewahi kuzaliwa na kuanza kutembea na kula ugali.. hapajawahi tokea ... katika historia niijuayo mimi wala wewe unaeisoma hii kitu hapa.

Watu wengi husahau walipotoka na kuidharau sana hii siku ambayo waliletwa hapa duniani hasa mtu akishakuwa mtu mzima kabisa anajielewa wengi husema ..."Nisherekee hii inanisaidia nini" haya maneno huwa mabaya sana lakini wanasahau bila Baba na Mama wangekuwa wapi sasa..

Hayo tuyaache na utapata majibu badae ukisha kunywa maji na kuyatafakari...

Dah.. Sijui nianzie wapi mimi .. maana leo nimeguswa sana na sikukuu ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mwana wangu wa Nguvu , Si kikazi lakini ni Mwana kwa mambo kibao si mwengine ni Blogger yaani anahusika na mambo ya Media anagazeti lake la mtandaoni ambalo kwa hakika ni full mahabari si Mwengine ni Geofrey Adroph , Aka Pamoja , Aka Blogger Kikofia ... 

Ebwana tamalizia hii naona jamaa wananiharakisha hapa ... Fuatilia 

Mtu wa Kufurahi na amani ni Pureeeeeeeeeeee......
 Anajieleza
 Ni Blogger mwenye Ushirikiano
 Jamaa mchapa kazi
 Ni Mwanamuziki
Jamaa anafanya kazi za jamii

Haya Maneno yake
Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.
Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana bila ninyi mablogger sidhani kama kazi hii ingeendelea mpaka kufikia hapa na pia kuna baadhi yao unielekeza kwa kunikosoa hata kunifundisha ni kipi cha kufanya il niweze kufikia malengo,
Na pia washukuru wadau wetu wanaotembelea Blog Yetu ya Pamoja Blog  maana bila nyie mimi nisingekuwa nafanya kazi hizi.  
Asanteni sana na pia nawapenda sana munguawalinde na awasimamie katika ujenzi wa taifa letu



No comments: