Social Icons

Tuesday, 6 January 2015

NAWATAMBULISHA KWENU VIDEO MPYA YA GARLIE 'O' REMIX - SIR J .. YES MWANA NIMEMPA SAPOTI YA NGUVU HUMU.

ANY WAY.. Ilikuwa kama matani vile lakini pia nikajiamini kama naweza lakini ndio ivyo nikaweza.. ebwana eeeh ... jamaa akanipa uhusika hapa kama Presenter kwa makini kabisa ndani ya Studio  za Tone Radio Tz... ebwana ishu ilikuwa poa sana na nilicheza hapo... Tazama video hii kwa makini utajua nini nazungumzia.. Sar Frenje kumbe yumo duu.... So Next time mimi takuwa ndiye namwaga mistari kama vipi cheki hiki kideo

No comments: