Social Icons

Sunday, 22 March 2015

Huu Mchemsho wa Samaki kutoka kwa Munisi kipande cha Sae ni Hatare

Jana Tulikuwa hapa kwa Munisi kipande cha Sae na Bulaza Joseph Mwaisango kama kawa Jeshi la mtu mmoja na wadau wengine wa.Mbeya yetu kupata moja mbili lakini kubwa ilikuwa ni mambo ya Supu. 

Hakika hapa kwa Munisi kuna wataalam wa kupika menu mpaka mtu unadata ghafla.

Huu ulikuwa ni mchemsho wa samaki hususani hapa tuliandaliwa kichwa . Dah bonge la mkichwa peke yako.msomaji wangu wa nguvu  huwezi maliza hakika ilikuwa tamu.tamu.sana.

Nawasihi wadau wa.Mbeya mfike hapo kutest zari kuna vinywaji vya kutosha . Kuna kila kitu poa zaidi ni mambo ya maakuli.

Usisahau nyama spesheli ya Bata kwa  Munisi ipo

Kuna wahudumu watakao kufanya ufurahie maisha ukiwa hapo. Unangoja nini?

KWA MUNISI NDIO KILA KITUU.


No comments: