Social Icons

Saturday, 28 March 2015

NIKIWA MBEYA GREEN CITY HUKO MILIMANI KUPATA PICHA HALISI YA JIJI LANGU.. HIZI NI PICHA TATU ZA JIJIIZ

Hehe hapa nipo kipande cha nonde juu kabisa juu.yani kupata picha.ya jiji la mbeya na uzuri wake hakika ilikuwa mzinga wa tour
Nikiwa katika pick flan kuelekea iziwa hapa ni mlimani weraa mbeya hiyoo
Usicheze na kamera man ww


Hii ilikua mzinga wa moja.ya tour weeeh

No comments: