Na Fredy Tony
Tunapoianza wiki ni muhimu kujiuliza je tumepanga kufanya mambo gani? je mambo hayo tumeyaandika chini? au lah kama yale ya wiki iliyopita tuliyakamilisha?
Basi haya ni mambo muhimu sana kuyafahamu, ukiwa kama mtu wa kupangilia mipango utakubaliana nami kuwa kuandika mambo au jambo ndio utaweza fanikisha mambo mengi.
Mara nyingi watu hawatambui umuhimu wa kuandika ratiba za wiki basi kama bado unapaswa kufanya hivyo.
Mimi sha andika ww unangoja nini?
No comments:
Post a Comment