Social Icons

Tuesday, 28 July 2015

HII NI ZAIDI YA PONGEZI KWA ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI: SASA TOCHI MPAKA KATIKATI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI , KAMERA YANGU IMEBAINI BILA CHENGA..

 Hii ni kutokana na ongezeko la ajali lakini pia wanyama kupoteza maisha kwa kugongwa 
 
 Hapa ni katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Magari yanaonekana yanakwenda Taratibu huku nako kushoto kwa Mbali kunadereva amezidisha mwendo na akipigwa swali kama kuna sababu ya kumuachia aende au awajibike kwa sababu ya kosa la mwendo kasi..
 Hapa Ukikimbia tuu unalo...

 Hapa ni Heshima na utiii
 Safi sana
 Hongera Askari wa Usalama Barabarani kwa kazi nzuri sana hii ni zaidi ya pongezi
Wanyama hawa wanahitajika kulindwa sana .....
Picha na Fredy Njeje wa Fredy Njeje Blog

No comments: