
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali wa
serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo
wakiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara maalum.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
pamoja na Viongozi wengine Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume leo akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara
maalum na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment