Mmiliki wa Libeneke hili hapa Fredy Tony Njeje
Kwanza napenda kuwashukuru wasomaji wangu wote wa Blog hii, Kwa hakika mmekuwa hamasa sana wa mimi kuendelea kupost zaidi na zaidi mambo kadha wa kadha.
Na sasa ni Maboresho.
Kwanza kabisa kuanzia Tarehe 20.07.2015 rasmi tutaanza kupata dondoo za habari mbalimbali ambazo zinatokea ndani na nje ya Tanzania hii nikuwapa Fursa watu kujua zaidi nini kinaendelea kwa. Wakati
Sambamba na hilo kutakuwa na mambo mbalimbali ambapo burudani zitahusika pamoja na makala mbalimbali.
Pia shughuli zangu mbalimbali zitasomeka hapa hapa so usikae mbali kabisa kupata kilicho bora
Nawapenda sana wasomaji wangu na hii ni nafasi yenu wasomaji wangu kupata kuweka matukio mbalimbali kama misiba,harusu,mahafali,taarifa mbalimbali kila kitu hapa free tuu...
Mwisho napenda kusema Rasmi kuwa nimebadili mfumo na Jina rasmi la Blog kuwa kama linavyosomeka hapo.
Asanteni
Fredy Tony Njeje
Mmiliki wa Blog Hiii hapa.
Mawasiliano 0765056399
No comments:
Post a Comment