Social Icons

Sunday, 2 August 2015

BAADA YA KUKATWA KURA ZA MAONI CCM DKT. MAKONGORO MAHANGA SASA CHADEMA


Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho jijini Dar es salaam, wakati akitangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Jumapili Agosti 2, 2015.

No comments: