Usipitwe na elimu ya juu ya kilimo cha kisasa cha Greenhouse Jikomboe kimaisha kwa kuwekeza katika Kilimo mana chakula ndo kila kitu ...Mazao yanayoweza stawi katika Greenhouse Dar es Salaam , Nyanya , Hoho, Bilinganya, Matt go, Pilipili ....Hivi vitu vinasoko sana Kutana na Mtaalam toka Nairobi na Ukajifunza Mengi.
Seminar itafanyika Tar 19/ 09/2015
Ukumbi wa Akemi Restaurant floor ya 21, Golden Jubilee Tower (PSPF) Karibu na PPF Tower..Mtaa wa Ohio Posta.Kuanzia saa 3 asubuh Kiingilio ni 50,000/=
Simu: 0767 767676

No comments:
Post a Comment