Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada wake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.
Tunashukuru
wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo,
walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa
njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika
waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.
Asanteni!


No comments:
Post a Comment