Social Icons

Friday, 16 October 2015

BREAKING NEWS: SAD , TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELKOPTA.

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.


 #‎TANZIA‬ Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous.
Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo.Fuatilia taarifa zetu tutakujuza zaidi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

Chanzo:ITV

No comments: