Social Icons

Monday, 5 October 2015

HARUSI YA KIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY" NA SCHOLASTICA L. LAZARO‏ YAFANA

Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika jana Jumapili Oktoba 04, 2015

Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni Furaha kwa kwenda mbele  

Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo

Bwana na Bibi Kimlola wakinyweshana Shampeni.

Bwana na Bibi Kimlola wakikata keki
Bwana na Bibi Kimlola wakilishana keki
Bibi harusi Scholastica L. Lazaro akikabidhi keki kwa wazazi wa Bwana harusi
Bwana harusi Kimlola A. Kimlola "Nelly” akikabidhi keki kwa familia ya bibi harusi.
Bwana na Bibi Kimlola wakikabidhi keki kwa wanakamati
Bwana na Bibi Kimlola  wakifungua mziki


Bwana na Bibi Kimlola wakicheza kwaito pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye harusi hiyoKWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: