Social Icons

Thursday, 29 October 2015

LIVE MUDA HUU: TUME YA UCHAGUZI YAENDELEA KUTANGAZA MATOKEO YA URAIS MCHANA HUU KWA MAJIMBO YALIYO BAKIA

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Jaji Lubuva akiendelea kutangaza matokeo ya Urais kwa Majimbo yaliyo bakia


Matokeo yakiendelea kutangazwa

Baadhi ya waandishi wa Habari waangalizi pamoja na wageni wakiwa wanafuatilia kwa makini kutangazwa kwa matokeo

Kamera za Kutosha zikifuatilia tukio

Endelea kufuatilia

Picha na Fredy Njeje Blog

No comments: