Social Icons

Tuesday 13 October 2015

Pinda apokea taarifa ya ujenzi wa wodi ya watoto – Sumbawanga

Ikiwa una Tukiko lolote au Habari yoyote usisite kutumia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com

IMGS6550
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor  Atiman  wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6552
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: