Social Icons

Monday 12 October 2015

UZINDUZI WA kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara

Ikiwa una Tukiko lolote au Habari yoyote usisite kutumia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea taarifa fupi ya kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, James Mataragio (kulia) kabla ya kuzindua kiwanda hicho, katikati ni Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.
 Rais Kikwete akipatiwa maelezo ya jinsi kiwanda cha kuchakata gesi asilia kinavyofanyakazi kutoka kwa Mhandisi, Sultan Pwaga.
 Wageni mbalimbali na wananchi walio hudhuria uzinduzi huo.
 Sehemu ya kiwanda cha kuchakata gesi asilia Madimba Mkoani Mtwara kilizichozinduliwa na Rais Kikwete mwisho wiki.
Kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichoko Madimba Mkoani Mtwara.

No comments: