Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi (kushoto), akizungumza katika semina kwa wanavikundi wao na wananchi wengine jinsi ya kuanza Biashara bila mtaji Fedha na umuhimu wa mikopo katika biashara zao, utowaji wa mkopo ya Fedha taslimu na Pikipiki kwa wanachama hao Dar es Salaa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika semina hiyo Dar es Salaam
Washiriki wa semina hiyo wahijailiana jambo
Wanasemina hiyo wakiwa katika kujadiliana jambo wakati wa semina
Mmoja wa washifiki hao akifafanua jambo wakati wa semina hiyo
Mmoja wa washiriki hao akiwa amelipanda bati (digadi) la Pikipiki hiyo baada ya kuruhusiwa na Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi (katikati) kumuonyesha kuwa pikipiki aina ya YAMAHA ni tofauti na pikipiki nyingine
Moja ya pikipiki imara ambazo hukopeshwa kwa riba nafuu kama inavyoonekana pichani
Mmoja wa wanasemina kushoto akitoa maelezo alipokuwa akiongea na Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi, kwaniaba ya wenzake
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi, akizungumza na wanasemina hiyo
Mmoja wa washiriki akitokea Tanga kwa ajili ya semina hito akiwa amepanda pikipiki hiyo
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO), James Obedi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika semina hiyo Dar es Salaam
Wanasemina wakiwa katika majadiliano
No comments:
Post a Comment