Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Mabaki ya ndege hiyo

Wakiendelea kutazama

Katika hili kulikuwa na baadhi ya miili ilionwa Mile chache toka Ndege ilipo angukia

Ndege ya Serikali ya Russia ikiwa imeonekana katika kiwanja cha ndege cha St. Peterburg's Pulkovo

Injinia wa kutoka Egypt alisema kuwa ndege hiyo aliiangalia dakika 35 kabla haijaondoka na haikuwa na tatizo lolote
Ndege hiyo ikionekana inaondoka Moscow Mwezi uliopita

Kundi kubwa la watu wa Russia wakiwa katika umoja wao kuombea wale wote waliofariki katika ajali ya ndege hiyo

Hivi ndivyo ilivyo haribika

Ilikuwa huzuni
Daily mail
No comments:
Post a Comment