Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @officialfredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Baadhi
ya wananchi ambao wamekumbwa na wengine wakiwa bado hawajafikiwa na
bomoabomoa hiyo wakiwa wamekaa nje ya mahakama kuu ya ardhi kusubiri
hatma yao
Modewjiblog team
Kesi
ya kupinga kubomoa nyumba katika mabonde ya Kinondoni ambayo ilikuwa
isikilizwe jana jumatatu na kuhairishwa hadi leo jumanne, januari 5
imehairishwa kwa muda kusikilizwa hadi saa nane mchana.
Tayari
magari ya Polisi ya washawasha na vikosi vya ulinzi vimetanda nje ya
mahakama kuu ya ardhi kwa ajili kuhakikisha kunakuwa na hali ya usalama
katika eneo hilo.
CHANZO MO BLOG
CHANZO MO BLOG
No comments:
Post a Comment