Social Icons

Monday, 25 January 2016

HARUSI YA MTOTO WA MTEMVU, AMINA MTEMVU YAFANA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @officialfredynjejeblog Twitter @Fredynjeje

Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika  Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Biharusi Amina Mtemvu katika pozi
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam

Bwana Harusi Masoud Masoud

Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  

Bwana Harusi Masoud Masoud akimfunua mkewake Amina Mtemvu wakati wa haflaya yao iliyofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  
Mama wa Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika pozi na watoto wake
Picha ya pamoja ya wazazi na watoto wao (kulia) ni mama wa bwana harusi na kushoto ni mama wa biharusi


Mwimbaji wa bendi ya Gusagusa, Ally Hassan  akighani wakati kundi hilo lilipokuwa likitoa burudani katika sherehe ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika ukumbi wa Diamond  Jubilee Dar es SalaamNo comments: