DSCN9622-768x1024
Mama wa Mitindo Asya Idarous wa pili kutoka kushoto, akizungumza katika utambulisho huo.
Team ya maandalizi ya Fashion Show maarufu kama “Lady In Red 2016″imekutana na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa “Danken House” kujadili na kutoa hamasa kwa Designers na wadau mbalimbalia ambao pia ni wapenzi wa mitindo.

Uongozi huo ambao unasimamiwa na Mama wa Mitindo ambaye anajulikana kama “Asya Idarous” umesema kuwa “Jukwaa la “Lady In Red 2016” litakuwa la ainayake kufuatia jitihada na juhudi zinazofanywa na walengwa wa tukio hilo, ambalo linategemea kupandisha Designers wengi zaidi hapa nchini siku ya Jumapili 31/1/2016 katika ukumbi wa Danken House.
Miongoni kati ya Designers watakao panda kwenye Stage siku hiyo ni Bemy Masai, Kelly Peter, Faustin Simon, Mtetesi Forcus, Barnabas, Mwanahamisis Kiroho, Nelson Thomas, Walter Demarian, Dorine Lymo, Evemary Sospeter, Fatma Rashid, Samweli Zebedayo, Kulwa Mkwandule, Jocktan Makeke, Saleem Siwila, Love Delamo, Abdul Mwene, Karol Mngumbi Jay Julius, Furaha, Joshua, Benja, Lili, Veronica, Rukia Walele nk.
Hivyo kama nawewe ni mpenzi wa mitindo usikubali kupitwa na tukio hilo, kiingilio ni buku 10000/= na viti vya mbele ni 30000/= Nyote mnakaribishwa ulisema oungozi wa maandalizi ya Tukio hilo.
(Picha na Maelezo by Victor Petro from Super News Tz)
DSCN9622 DSCN9623 DSCN9624 DSCN9625 DSCN9650 DSCN9652 DSCN9656 DSCN9657
Picha ya pamoja katika tukio hilo.