Social Icons

Tuesday, 2 February 2016

MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI WA MWANDISHI WA GPL MAYASA MARIWATA

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @officialfredynjejeblog Twitter @Fredynjeje


1 Waombolezaji wakisaidia kubeba mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.
2a
2bTaswira ya msibani.
3Waandishi, Denis Mtima na Hamida Hassan wakimfariji mfiwa, Mayasa Mariwata.
MWANDISHI wa habari wa magazeti pendwa ya Global Publishers Ltd , Mayasa Mariwata amepata pigo la kufiwa na baba yake mzazi, Amiry Mariwata ambaye amefariki mapema jana baada ya kuzidiwa na kisukari akiwa nyumbani kwake Kinondoni jijini Dar.
Mwili wa marehemu umezikwa leo katika makaburi ya Mwananyamala baada ya sala ya Adhuhuri.
Global Publishers inawapa pole wafiwa wote wa familia hiyo kwa kipindi hiki kigumu.
“Inalillah Waina Ilaih Rajiun”
Picha/ Chande Abdallah

No comments: