Social Icons

Thursday 11 February 2016

RAIS AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU UWEZESHAJI ,USTAWI WA JAMII VIJAN WANAWAKE NA WATOTO

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
sh1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha na Ikulu.]
sh2
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Hassan Khatib  Hassan leo  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha na Ikulu.]
sh3

sh4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Nd,Hassan Khatibu Hassan baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,[Picha na Ikulu.]
sh5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Asha Abdalla baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Nd,Hassan Khatibu Hassan kuwa Naibu  katibu wizara hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments: