Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BADNARI
TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MamlakayaUsimamiziwaBandari
Tanzania
(TPA)
inatekelezamradimkubwawamifumoyaUlinzinaUsalamakwanjiayakielekrtonikiilikudhibitiusalamawabandarizakemajininanchikavukimtandao.
MradihuuwakielektronikiunajulikanakamaIntergrated
Security
System (ISS)unakusanyamifumombalimbaliyaulinzinaunafadhiliwana TPA kwagharamayashs.
bilioni 9.800.
Mradihuumkubwawaulinziunahusuufungajiwa
CCTV cameras, ujenziwachumba cha kuongozeamitamboyoteya ISS, ufungajiwataanaminarayakepembezonimwaukutawabandari,
ufungajiwanyayambalimbali, ufungajiwa ‘License Plate Number’
ambaposasamagariyoteyanayoingiabandariniyatakuwayanasomwanakurekodiwanambazakezausajili,
ujenziwa gate house kwenyemageti, ufungajiwa radiation detectors na ‘access
control system’.
Jumlaya
CCTV cameras 486 zitafungwaambapompakasasajumlaya camera 246
zimeshafungwanakuanzakutumikana camera 144 zilizobakiufungaji wake
unategemewakukamilikamweziMachimwakahuuwa 2016.
Kamerahizizitasaidiakuionabandariyoteya
Dar
es Salaam mpakakwenyeboya la mafuta la SPM
Mjimwema,kutokeakwenyechumbakimojaambachokamerahizozinafungwanahivyokuwezeshakunasatukiololote
la
uhalifuambalolinatokeakatikaeneohusika.
Mradipiaunahusuuboreshajiwamilangoyakuingiandaniyabandariambapomagetimaalumyakisasayanaendeleakufungwailikudhibitiuingiajindaniyaeneohilinyeti.
Katikamagetihayawaingiajiwatakaowezakuingiani
wale tuwenyevibali au
vitambulishomaalumambavyomitamboitawezakuvitambuakielektronikivitambulishohivyoikiwemowafanyakazinawatumiajiwabandari.
MitamboitakayofungwakatikamagetihayaitakuwanauwezowakusomanambazamagariyoteyanayoingiabandarininakumbukumbuzakekubakikatikakumbukumbuzaMamlaka.
Ufungajiwataanaminarayakepembezonimwaukutawabandaringuzozimeshasimikwanataazinaendeleakufungwa.
Kukamilikakwamradihuukutaboreshakwakiasikikubwausalamawabandari,
malizaMamlakanamizigoyawatejanahivyokuwaongezeaimaniwatumiajiwabandarikwambamalizaonisalamakatikabandariza
Tanzania.
Mwisho….
ImetolewanaMamlakayaUsimamiziwaBandari
Tanzania (TPA)
JanethRuzangi (Bibi)
MENEJA MAWASILIANO
No comments:
Post a Comment